utekezaji wa ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa katika shule ya sekondari magulukenda. Mradi huu umetokana fedha zilizotolewa na serikali kwaajili ya kuandaa mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza 2022.